Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CM, Kassim Majaliwa akizungumza na mgombea
Ubunge wa CCM katika Jimbo la Nanyumbu, Yahya Mhata (kushoto),
mgombea Udiwani wa CCM katika Kata ya Kilimanihewa, Thabiti Geugeu (wa
pili kushoto) na Mgombea Udiwani wa CCM katika Kata ya Mangaka,
Halima Mchoma katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye uwanja wa
Stendi ya Mabasi ya Mangaka wilayani Nanyumbu, Oktoba 26, 2020
Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CM, Kassim Majaliwa akiwakabidhi Ilani ya
Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la
Nanyumbu, Yahya Mhata (kushoto), mgombea Udiwani wa CCM katika Kata ya
Kilimanihewa, Thabiti Geugeu (wa pili kushoto) na Mgombea Udiwani wa CCM
kwenye Kata ya Mangaka, Halima Mchoma katika mkutano wa kampeni
aliouhutubia kwenye uwanja wa Stendi ya Mabasi ya Mangaka wilayani
Nanyumbu, Oktoba 26, 2020
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM , Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Stendi ya Mabasi, Mangaka wilayani Nanyumbu, Oktoba 26, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...