Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiweka  udongo kwenye kaburi
la Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Kata za Nandagala na Mnacho, Habibu
Bakari Mchenga katika mazishi yaliyofanyika kwenye  kijiji cha
Namahema wilayani Ruangwa, Oktoba 21, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wazee wakati
aliposhiriki mazishi ya Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wa Kata za Mnacho na
Nandagala wilayani Ruangwa, Habibu Bakari Mchenga yaliyofanyika katika
kijiji cha Namahema wilayani humo, Oktoba 21, 2020. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu.)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...