Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani katika kituo cha SOS Mombasa Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika leo Octoba 28,2020 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika foleni ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani katika kituo cha SOS Mombasa Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika leo Octoba 28,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea karatasi za
kupiga kura kutoka kwa Muwandishi Yussuf Haji katika kituo cha SOS
Mombasa Zanzibar kwa ajili ya kupiga kura kuchagua Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi na Madiwani kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika leo Octoba
28,2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...