Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza moja kwa moja kwa njia ya Simu na Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli kutoka Tunduma Mkoani Songwe wakati Mgombea Mwenza alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Shule ya Msingi Puma Mkoani Singida leo Octoba 01,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM 2020/25 Mbunge mteule wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Immanuel Kingu kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 01,2020 katika Uwanja wa  Shule ya Msingi Puma Mkoan Singida.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Makiungu Singida Mashariki alipokuwa katika ziara ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 01,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM 2020/25 Mbunge mteule wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 01,2020 katika Eneo la Makiungu Singida Mashariki. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...