Mgombea Urais Kupitia tiketi ya
Chama cha Mapinduzi Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwaonesha
wananchi namna ya Kupiga Kura na kuwaomba wamchague katika Chuo cha
Mipango Jijini Dodoma leo.
Wananchi wa Dodoma wakimsikiliza Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwaomba Kura.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...