Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtuza kofia mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Rose Mhando wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe leo
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Rose Mhando akifurahia kofia aliyotuzwa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya wananchi wakati akiwasili kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe leo Alhamisi Oktoba 1, 2020
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...