
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Uwanja wa CD Msuya mjini Mwanga katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Jumatano

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuamkia Waziri Mkuu Mstaafu Mzee David Cleopa Msuya alipowasili Uwanja wa CD Msuya mjini Mwanga katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Jumatano

Maelfu ya wananchi wakiwa tayari kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja wa CD Msuya mjini Mwanga katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Jumatano

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu Mstaafu Mzee David Cleopa Msuya alipokuwa akimkaribisha na kuongea machache Uwanja wa CD Msuya mjini Mwanga katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni leo Jumatano

MGAGAO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...