Mgombea Urais kupitia Chama
cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Arumeru katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika
Usa River mkoani Arusha leo tarehe 22 Oktoba 2020.
Sehemu ya Wananchi wa Usa River waliohudhuria mkutano wa Kampeni za
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli uliofanyika Usa River Aru Meru mkoani Arusha.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Usa River mara baada ya kuwasili mkoani Arusha wakati akitokea mkoani Kilimanjaro leo tarehe 22 Oktoba 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...