
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Tunduma katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika viwanja wa Nyerere Tunduma mkoani Songwe leo tarehe 1 Oktoba 2020.
Wananchi wa mji wa Tunduma mkoani Songwe wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...