
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la Mbozi Mhe. Geporge Ranwell Mwenisongole kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, katika mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 13,2020 katika Viwanja vya Vwawa Mbozi Mkoani Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...