Mkurugenzi wa Tigo, Simon Karikari pamoja na viongozi mbalimbali wa idara wakijibu na kutatua maswali ya wateja wa Tigo katika kituo cha huduma kwa wateja namba 100 , zoezi limefanyika leo katika wiki ya huduma kwa wateja.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Tigo, Bi. Mwangaza Matotola, akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari pamoja na viongozi wa idara mbalimbali katika kituo cha kisasa cha Huduma kwa Wateja. Tukio hilo liliambatana na ukataji wa keki.

Mkurugenzi wa Tigo, Bw. Simon Karikari akipokea keki kutoka kwa Mwangaza Matotola, Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja kama ishara ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. 
Tigo inawathamini na kuwajali kwa kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma na bidhaa bora zaidi kila siku.


 Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. 
Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote.


 Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote.

 Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Tumekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote.

 Watoa huduma wa Tigo wakifurahia maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. 
Wamekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma bora wanazostahiri sehemu yeyote.


KUTAZAMA TUKIO ZIMA ANGALIA HAPA CHINI




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...