MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi 
Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru
Ally, alipowasili katika uwanja wa Jamuhuri kuhudhuria mkutano wa
Kampeni ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja leo.1-10-2020.(Picha na Ikulu)
NO.0259////MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais wa
Zanzibar MheDk. Hussein Mwinyi alipowasili uwanja wa Jamuhuri
Makunduchi kuhudhuriac mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa
Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais wa
Zanzibar MheDk. Hussein Mwinyi alipowasili uwanja wa Jamuhuri
Makunduchi kuhudhuriac mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi,
alipowasili katika Uwanja wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na
Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipowasilim katika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi.(Picha na Ikulu)
 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, wakiwa katika jukwaa la viongozi wakati wa mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi , uliofanyika katika uwanja wa ,pira wa jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja leo,1/10/2020.(Picha na Ikulu)
UMATI wa Wanachama wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia
mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1/10/2020.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...