Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba  wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa  ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba

Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo na Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chama hicho Mohammed Ali Mohammed Mkazi wa Chakechake Kisiwa Pemba akikabidhi kadi yake  kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kuamuwa kukihama Chama hicho katika mkutano wa  ufungaji wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo Octoba 24,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...