
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada yakuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera anayewapungia mkono Wamalawi wanaoishi Tanzania waliojitokeza kumuaga katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwashukuru Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Ben
Mashiba na Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Chembe Muthali baada ya kumsindikiza Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.

Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipunga mikonu kuwaaga Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera wakati wakiondoka katika Uwanja wa\Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...