Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar, Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Profesa
Palamagamba Kabudi na maafisa wa Ubalozi na wa Ikulu wakifurahia
baada ya Balozi huyo kukabidhi hati zake za Utambulisho kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwangalia balozi mteule wa Pakistan nchini Tanzania
Mhe. Muhammad Saleem akiwasilisha kwake hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na balozi wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia Jenerali Ibuge akimtambulisha balozi mteule wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia
Jenerali Wilbert Ibuge akimtambulisha balozi mteule wa Uingereza
nchini Tanzania Mhe. David William Cancar kwenye hafla iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulia akiangaliawakati balozi mteule wa Uingereza nchini Tanzania Mhe.
David William Cancar akiwasilisha hati zake za utambulisho kwenye
hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...