Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa pole Familia ya Marehemu Briton Wilfred Mollel (26) Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM aliyeuwawa tarehe 25 Agosti 2020 Tunduma mkoani Songwe, kulia ni Mama Mzazi wa Marehemu Roda Bryson Mwaisongole akiwa pamoja na mke wa Marehemu Salome Philemon Mayao.  Tunduma mkoani Songwe leo tarehe 02 Oktoba 2020. 

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama Mzazi wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi rambirambi yake ya Sh. Milioni 3 Mama Mzazi wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe ili ziwasaidie katika kipindi hiki kigumu.

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi rambirambi yake ya Sh. Milioni 3 mke wa Marehemu Briton Wilfred Mollel, Roda Bryson Mwaisongole Tunduma mkoani Songwe

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali pamoja na Familia ya Marehemu Briton Wilfred Mollel, kulia ni Mama Mzazi wa Marehemu Roda Bryson Mwaisongole, mke wa Marehemu Salome Philemon Mayao pamoja na Watoto wake wawili. Marehemu Briton aliuwawa tarehe 25 Agosti, 2020 Tunduma mkoani Songwe na ameacha Watoto watatu. Marehemu Briton alikuwa Mkuu wa Mafunzo na Mkuu wa Itifaki UVCCM Wilaya Momba

 

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mkono Watoto wawili wa aliyekuwa Mwanachama wa CCM Marehemu Briton Wilfred Mollel Tunduma mkoani Songwe leo tarehe 02 Oktoba 2020. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...