Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akinyanyua kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” baada ya kukizindua rasmi leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ambacho kimeandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla .

Baadhi ya Wanamichezo wa zamani waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichizonduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ,ambapo kiliichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Vijana,Sanaa, Utamaduni na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla (kulia) akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd.Omar hassan Omar (king) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Kitabu  kiitwacho “Mwalimu Bora wa Soka”uliofanyika leo

Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha   “Mwalimu Bora wa Soka”   uliofanyika leo  katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu  “Mwalimu Bora wa Soka”   uliofanyika leo  katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake  kwa wananchi na wanamichezo   hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora uliofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha  “Mwalimu Bora wa Soka” uliofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

anamichezo na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Vijana,Sanaa, Utamaduni na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla (kulia) akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd.Omar hassan Omar (king) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Kitabu kiitwacho “Mwalimu Bora wa Soka”uliofanyika leo

Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu “Mwalimu Bora wa Soka” uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Mkalimani wa Lugha za Alama akisomea watu wenye tatizo Uziwi katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,

Makocha mbali mbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Bora wa Soka” kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla,[Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...