RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kitamba akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Chuo Cha Amali Dayamtambwe na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma, Wilaya ya Wete Pemba, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Chuo hicho leo 15/10/2020.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Majengo ya Chuo cha Amali Dayamtambwe Wiliaya ya Wete Pemba yaliofunguliwa leo 15/10/2020. na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akitembelea Majengo ya Chuo cha Amali Dayamtambwe Wilaya ya Wete Pemba akipata maelezo kutoka kwa Mshauri Elekezi wa Chuo Cha Amali Dayamtambwe.Eng. Mansoor Mohammed Kassim, wakati akitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua leo 15/10/2020. Wilaya ya Wete Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo ya Boti ya Kisasa itakayotumika kwa mafunzo kwa Wanafunzi watakaojiunga na Chuo hicho,kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Bakari Ali Silima (mwenye kipaza sauti) wakati akitembelea darasa la masna (kulia kwa Rais) Waziri ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akitembelea majengo ya Chuo cha Amali Dayamtambwe baada ya kukifungua rasmin leo na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt.Eng. Idriss Muslim Hija na(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Jumba.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...