RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride la Maalum la Maofisa wa Idaraza Maalum za SMZ kabla ya Kuwatunuku Kamisheni katika hafla hiyoiliofanyika katika viwanja vya Kama KMKM leo.8/10/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Kamisheni Maofisa waIdara Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo
imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A”Unguja leo 8/10/2020.(Picha na Ikulu)
MAOFISA wa Idara za SMZ Zanzibar wakifishana Vyeo baada yakutunukiwa Kamisheni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) baada ya kumal;izamafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama
Wilaya ya Magharibi”A” Unguja leo 8/10/2020.(Picha na Ikulu)

MAOFISA wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar wakila kiapo
baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais swa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) hafla
hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya
Magharibi “A”Unguja.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...