Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (kulia), baada ya Ufunguzi wa
Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro. Kiwanda hicho kilifunguliwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli
(hayupo pichani). Uzinduzi huo umefanyika leo, Mjini Moshi, Mkoani
Kilimanjaro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
George Simbachawene (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Christopher Kadio (kulia) pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi
la Magereza, CGP Suleiman Mzee (kushoto) wakizungumza baada ya ufunguzi
wa Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro. Kiwanda hicho
kilifunguliwa leo na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
John Magufuli (hayupo pichani).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (katikati), akiagana na Kamishna
Jenerali Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP Suleiman Mzee (kushoto)
baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha
Kilimanjaro. Kiwanda hicho kilifunguliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, Mkoani Kilimanjaro leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Watatu kutoka kushoto), akiwa na
baadhi ya Viongozi kabla ya Ufunguzi wa Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha
Kilimanjaro. Kiwanda hicho kilifunguliwa leo na Mhe. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, Mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
George Simbachawene (Wanne kutoka kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Watatu kutoka kulia),
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP Suleiman Mzee (Watatu kutoka
kushoto) pamoja na baadhi ya Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja
baada ya Ufunguzi wa Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro.
Kiwanda hicho kilifunguliwa leo na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. John Magufuli (hayupo pichani).
Baadhi ya kazi zinazofanywa ndani ya Kiwanda cha bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro. Kiwanda hicho kilifunguliwa Mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...