Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuweka jiwe la
msingi Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD kiliopo chumbuni
Unguja leo (wa pili kulia) Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Amina
Salum Ali (kushoto)Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda Ahmed Osman Ahmed na
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (wa pili
kushoto).[Picha na Ikulu] 26/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata
maelezo namna ya uzalishwaji wa Vitambaa katika Kiwanda cha Nguo cha
BASRA TEXTILES MILLS LTD na Mkurugenzi Mtendaji wa Bw.Ahmed Osman
Ahmed alipotembela mashine mbali mbali baada ya kuweka jiwe la
msingi leo,Chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja (katikati) Mgombea Urais wa
Zanzibar CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi.na Waziri wa Biashara na
Viwanda Mhe.Amina Salum Ali.[Picha na Ikulu] 26/10/2020.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipotoa hutuba yake katika sherehe ya uwekaji
wa jiwe la msingi Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD
iliyofanyika leo chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja .[Picha na Ikulu]
26/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akioneshwa sampuli
ya vitambaa vitakavyotengezwa katika Kiwanda cha Nguo cha BASRA
TEXTILES MILLS LTD na Bw.Ahmed Osman Ahmed Mkurugenzi Mtendaji wa
alipotembela mashine mbali mbali baada ya kuweka jiwe la msingi
leo,Chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja (kulia) Mgombea Urais wa Zanzibar
CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi.[Picha na Ikulu] 26/10/2020.
Miongoni mwa mashine katika Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD kiliopo chumbuni Unguja, mbacho leo kimewekewa jiwe la msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. [Picha na Ikulu] 26/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipotoa hutuba yake kwa wananchi katika sherehe ya uwekaji
wa jiwe la msingi Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD
iliyofanyika leo chumbuni Wilaya ya Mjini Unguja (kulia) Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Amina Salum Ali (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD Bw.Ahmed Osman Ahmed (wa pili kushoto).[Picha na Ikulu] 26/10/2020. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda
cha Nguo cha BASRA TEXTILES MILLS LTD Bw.Ahmed Osman Ahmed (wa pili
kushoto) mara baada ya kuweka jiwe la msingi Kiwanda hicho leo,Chumbuni
Wilaya ya Mjini Unguja .[Picha na Ikulu] 26/10/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...