Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi(wa pili kushoto) akimkabidhi Tuzo za kutambua mchango wa Tasnia ya habari kwa kampuni hiyo, wawakilishi wa TBC, Angela Mang’enya na Gloria Michael wakati wa hafla ya kuzindua maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania jana. Wengine ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia (kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Linda Riwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi(wa pili
kushoto) akimkabidhi Tuzo za kutambua mchango wa Tasnia ya habari kwa
kampuni hiyo, mwakilishi wa Gazeti la The Guardian, Frank Monyo wakati
wa hafla ya kuzindua maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania.
Wengine ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia
(kushoto) na Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Linda Riwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akizungumzia
safari ya Vodacom toka kuanzishwa kwake nchini kwa wageni
waalikwa wakati wa hafla ya kuzindua maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom
Tanzania leo

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...