
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akiwasalimia wananchi wa mkoa wa Pwani baaada ya mgombea Urais kuondoka katika uwanja wa kampeni Mwanakalenge Bagamoyo mkoa wa Pwani,tarehe 19 Oktoba 2020.
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
Maelfu ya Wafuasi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano mkuu wa Kampeni katika viwanja vya Mwanakalenge Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Oktoba 19, 2020.
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi ambapo amewaomba wananchi wa Mkuranga wachague wagombea wa CCM ili kupata maendeleo katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanakalenge Bagamoyo mkoa wa Pwani.
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...