Mkurugenzi Msaidizi wa Utoaji Huduma, Wizara ya Maji Mhandisi Lydia Joseph akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi cha Wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro leo.

Mwanasheria wa Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka akichangia mada wakati wa kikao kazi cha Wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro leo.

Mwanasheria wa Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka (aliyesimama) akichangia mada wakati wa kikao kazi cha Wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro leo.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi cha Wizara ya Maji cha mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro leo.

(Picha na Happiness Shayo-Morogoro) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...