Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Kalli aku Masanja akiwa amekalia kiti cha enzi utemi wa Wasukuma baada ya kusimikwa jana na Chifu Seni Wenceslau wa Kanadi ambaye pia ni Katibu wa Watemi, hafl iliyofanyika kwenye Makumbusho ya Utmaduni wa Kabila la Wasukuma Bujora.
Mtemi wa Kndi, wilayani Busega, Chifu Seni Wenceslaus akimvisha vazi la utemi Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Kalli  na kupewa na jina la Masanja jana hafla iliyofanyika kwenye Makumbusho ya Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Bujora jana.
Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Kalli  Masanja akionyesha vitu mbalimbali na badhi ya wazee na watemi kabla ya kusimikwa kuwa Mtemi wa Wasukuma na kuitwa jina la Masanaj au mkusanya watu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...