Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk.Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(katikati) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.[Picha na Ikulu] 04/11/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Dk.Mwinyi Talib Haji baada ya kumuapisha kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(katikati) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.[Picha na Ikulu] 04/11/2020.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...