Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimuapisha Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla kulia) katika
hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar[Picha na Ikulu]
09/11/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla mara baada ya kumuapisha rasmi leo katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar[Picha na Ikulu] 09/11/2020.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...