Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake
Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe Abdelilah Benryane (kushoto)
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,ambapo pia Balozi alimpongeza Rais
kwa ushindi wake katika uchaguzi Mkuu uliopita.[Picha na Ikulu]
18/11/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiagana na mgeni wake Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe Abdelilah
Benryane (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 18/11/2020.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...