Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waislamu wengine kubeba jeneza la Marehemu Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai kabla ya kumswalia katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar na Kuzikwa leo Kijijini kwao Shakani Wilaya ya Magharibi”B”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na baadhi ya Waislamu katika kumswalia Marehemu Mzee Iddi Mohamed Said Bavuai katika Msikiti wa Maisara Jijini Zanzibar na Kuzikwa leo Kijijini kwao Shakani Wilaya ya Magharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...