RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj .Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza  kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na
Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammed Mombasa kwa Mchina Jijini Zanzibar leo 27/11/2020.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...