RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk. Hussein  Ali Mwinyi akiwa amesimama Jukwaa kuu la Viongozi  wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliofanyika katika uwanja wa Jamuhuri  Jijini Dodoma leo,5/11/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John  Pombe Magufuli  akielekea katika jukwaa baada ya kuapishwa leo 5/11/2020. Katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Tanzania wakishuhudia kuapishwa kwa Rais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma leo 5/11/2020.(Picha na Ikulu)
JAJI Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma  akimuapisha Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan 5/11/2020, katika uwanja wa Jamuhuri Jijini DodomaJAJI Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma  akimuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe  Magufuli leo 5/11/2020, katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma, baada  ya kushinda uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka huu Oktoba 28,
2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipunga mkono wakati  Rais Mteule wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili  katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwa ajili ya kuapishwa, baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Tanzxania uliofanyika mwezi Oktoba 2020.(Picha na Ikulu)



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...