






Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Amani Abeid Karume mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/11/2020.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...