- Instant Schools ni huduma ya kusoma au kupata maudhui mtandaoni bure kabisa
Balozi wa Vodacom Tanzania Foudation, Joyce Buzuka akitoa elimu kwa baadhi ya wafanyabiashara wa mnada wa mifugo wa Ushirika wilaya ya Nzega mkoani Tabora mwishoni mwa wiki kwa Juma Husseni (kulia) jinsi gani programu ya Vodacom Instant Schools inawezesha kutafuta, kupata na kupakua maudhui mbalimbali kwa njia ya mtandao bila gharama yeyote.Wanafunzi wa shule ya sekondari Puge Nzega Tabora wakisoma vipeperushi vya Vodacom Tanzania Foundation vinavyoelemisha programu ya Instant Schools mara baada ya kupata mafunzo ya matumizi ya mfumo huo.
Balozi wa Vodacom Tanzania Foundation, Harrison Mgutu (kulia) akitoa elimu ya programu ya Vodacom Instant Schools (Soma Kidijitali) kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Puge, Nzega Tabora kupitia mpango huo utamuwezesha mtumiaji kupata masomo, kutafuta, na kupakua maudhui mbalimbali kwa njia ya mtandao bila gharama yeyote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...