Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania PLC, George Lugata akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio wa  simu mpya aina ya Tecno Camon 16s iliyozinduliwa ambayo itakayopatikana kwa bei nafuu kwenye maduka yote ya Vodacom nchini huku ikiwa na GB 96, ikiwa ni sehemu ya kuwapatia wateja punguzo katika msimu huu wa sikukuu.

Meneja  Uhusiano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya (kulia) akionesha simu mpya aina ya Tecno Camon 16s iliyozinduliwa ambayo itakayopatikana kwa bei nafuu kwenye maduka yote ya Vodacom nchini huku ikiwa na GB 96, ikiwa ni sehemu ya kuwapatia wateja punguzo katika msimu huu wa sikukuu. Kushoto ni Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania PLC, George Lugata

Mwanahabari wa TBC, Gervas Mwatebela (katikati) akipokea simu mpya aina Tecno Camon 16s  kutoka kwa mabalozi wa simu hiyo, Elizabeth Michael (Lulu) na Jihan Dimack (kushoto) mara baada ya kujishindia kwenye droo iliyochezeshwa kwa wanahabari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...