Spika wa Bunge, Mhe. Job Y. Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kulia ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.
Naibu
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa mafunzo
ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni
Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.
Spika
Mstaafu wa Bunge, Mhe. Pius Mswekwa akitoa mada wakati wa mafunzo ya
Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma.
Spika Mstaafu wa Bunge, Mhe. Anne Makinda akitoa mada wakati wa
mafunzo ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brigedia Jenerali, Wilbert Ibuge akitoa mada wakati wa mafunzo
ya Waheshimiwa Wabunge yanaoendelea Bungeni Jijini Dodoma.
PICHA NA BUNGE



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...