Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi
(katikati) akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha ya mawasiliano ya
kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema
hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Michezo, Yusuph Singo na kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya
Michezo Malya Bw.Richard Mganga. 
Katibu Mkuu nwa Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.
Hassan Abbasi akitoa mada wakati wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati
kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo
jijini Dar es Salaam. 
Katibu Mkuu nwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akitoa mada wakati wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya
Michezo, Yusuph Singo akizungumza na wadau wa Michezo wakati wa uzinduzi
wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na
mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam,
katikati ni Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi na kushoto ni HH Mkuu wa Chuo cha
Maendeleo ya Michezo Malya Bw.Richard Mganga.


Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...