Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu mbali mbali wakati akikagua ujenzi wa majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akikagua sehemu mbali mbali wakati akikagua
ujenzi wa majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akikagua sehemu mbali mbali wakati akikagua
ujenzi wa majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia mafundi wa kiraia wakati akikagua ujenzi wa majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wajenzi wa kiraia baada ya kukagua majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wajenzi wa kijeshi baada ya kukagua majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mmoja wa askari wajenzi walati akikagua majengo ya ofisi za Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Desemba 8, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...