Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe.Sarah Msafiri akionyesha funguo kwa wananchi waliojitokeza kushuhudia makabidhiano ya gari kwa mshindi wa promosheni ya Shangwe Shangwena, Peter John.
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe.Sarah Msafiri (mbele kulia) akimpongeza mshindi wa tatu wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Peter John mara baada ya kukabidhiwa gari yake. Wanaoshuhudia kushoto ni Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Stephen, mke wa mshindi, Anna Makundi (katikati) na wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom.

Mshindi wa tatu wa promosheni ya Vodacom Shangwe Shangwena, Peter John mkazi wa Kigamboni akifungua mlango wa gari mpya aina ya Renault KWID aliyojishindia kwenye promosheni hiyo. Anayeshuhudia kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe.Sarah Msafiri.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...