
Tunatoa shukurani za dhati kwenu nyote mliokuwa pamoja nasi katika juhudi na dua za kumsaka mtoto Shabani Haji Shabani aliyetekwa na dreva wa bodaboda hapa Tabata Segerea mwisho.tunaujulisha umma kuwa mtoto huyu amepatikana na kuletwa hadi nyumbani na wasamalia wema.Mwenyezi mungu awazidishie upendo.
Ahsanteni sana

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...