Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi ripotri ya Mradi wa ZUSP Mkurugenzi wa Idara ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA Nd,Mussa Haji Alikwa, ajili ya kuifanyika kazi wakati mkutano wake na Wafanyakazi wa Idara hiyo leo uliofanyika Ofisi za Idara Victoria Garden Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].23 Disemba 2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha ripoti ya Mradi wa ZUSP kwa Viongozi na Wafanyakazi wa Idara ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) wakati mkutano maalum alipotembelea Ofisi za Idara leo Victoria Garden Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].23 Disemba 2020./Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...