Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi kuwa Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimksbidhi nyenzo za kazi Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi baada ya kumuapisha kuwa Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi baada ya kumuapisha kuwa Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  Eng. John Kijazi, Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mhe. Latifah Mansoor, Jaji Sivangilwa Sikalailwa Mwangesi, Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. Deo Ndejembi na watendaji katika ofisi za Tume ya Maadili baada ya kumuapisha Jajji Mwangesi kuwa Kamishna wa Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino asubuhi leo Disemb a 24, 2020. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...