Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akimkabidhi nyenzo za kazi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri la Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Desemba 16, 2020
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...