RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof.Florens D.A.M.Luoga (kati) mara baada ya mazungumzo na Uongozi wa Benki hiyo yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/12/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) (kushoto) leo
wakati walipofika kumpa pongezi na kuzungumzia masuala mbali mbali ya
kiutendaji katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu]
01/12/2020.RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOT) (kushoto) leo wakati walipofika kumpa pongezi na kuzungumzia
masuala mbali mbali ya kiutendaji katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/12/2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...