Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma,wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),Gaudensia Simwanza akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea katika Banda la Mamlaka hiyo leo kwenye maonesho ya Bidhaa za Viwandani yanayoendelea viwanja wa Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.

Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA),Gaudensia Simwanza akimuonesha moja ya dawa zilizopo kwenye maonesho hayo wakati akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliiotembelea katika Banda la Mamlaka hiyo leo kwenye maonesho ya Bidhaa za Viwandani yanayoendelea viwanja wa Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Bw.Hussein Makame Afisa Elimu kwa Umma na Huduma kwa Wateja Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA akitoa maelezo kwa wananchi waliofika kwenye Banda Hilo leo katika maonesho ya Bidhaa za Viwandani yanayfanyika viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.

Baadhi ya wananchi wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA wakati walipotembelea Banda Hilo leo katika maonesho ya Bidhaa za Viwandani yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...