A picture containing text, sport, athletic game, player

Description automatically generated*Manchester United kuwaalika Wolverhampton Wanderers.

UHONDO wa EPL unanoga zaidi wakati huu ambapo tunaugawa msimu wa 2020-21. Ikiwa ni wiki ya 16, Old Trafford kutakuwa na vita kati ya Mashetani Wekundu dhidi ya Mbwa Mwitu.


Tunazungumzia Manchester United dhidi ya Wolves. Huu ni mchezo ambapo unatumia akili nyingi kwenye mfumo wa kiuchezaji, kazi, mashambulizi ya kushtukiza, kulinda goli na mambo mengine kadha wa kadha ndio asili ya mchezo huu.


Huu ni mchezo unaowakutanisha makocha wawili ambao hawanamajina makubwa kwenye orodha ya makocha lakini wanakuja kwa kasi sana kwenye ulimwengu wa soka la EPL. Nuno Espirito Santo na Ole Gunnar Solskjaer ni makocha wanaoutumia mbinu nyingi kwenye mchezo mmoja, hatari!!


Kitakwimu, Man United na Wolves wameshakutana mara 105. United wameibuka vinara mara 49, wametoka sare mara 20 na Wolves wameshinda mara 36.


Kwa mwaka 2020, United vs Wolves wamecheza mara 4 na United ameshinda mara 1 na wametoka sare mara 3. Hali itakuaje katika mchezo wao wa kuhitimisha mwaka?

Mpaka sasa kwenye msimu huu, timu hizi bado zinaendelea kujiimarisha zaidi. Ubora wa vikosi vya timu hizi sio wa kuelezeka moja kwa moja kwa maana ya kuwa na matokeo ya kupanda na kushuka kwa kila mchezo ndani ya EPL. Huu ni msimu ambao pengine bingwa wa EPL atajulikana mwishoni kutokana na wingi wa mechi zinazochezwa ndani ya muda mfupi kuliko kawaida na ongezeko la idadi ya majeruhi kwenye vikosi mbalimbali.


Wataalamu wa Meridian, wamekuwekea odds za kibingwa kwa mchezo huu na mingine mingi hapa.


Jisajili na Meridiabet hapa  .na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...