JARIBU bahati yako kwenye soka na mbio kwenye Lucky Betting Shop, ni slot mpya ya michezo ya kubashiri inayopatikana bure au kwa pesa hali kupitia Kasino ya Meridianbet pekee.
Umewahi
kubashiri kwenye michezo mtandaoni? Ubashiri wa michezo ni maarufu sana kwa
mamilioni ya watu kote duniani. Hili ndilo dhumuni kubwa la Studio za Expanse
kwenye sloti hii, kuleta ubashiri wa michezo kwenye kiwanda cha sloti.
Inapatikana
kwenye Kasino
ya Meridianbet pekee. Lucky
Betting Shop ni mashine ya sloti inayofurahisha na kukupa zawadi kemkem kwenye
michezo. Kumbuka, sio ubashiri wa mtandaoni ila ni ubashiri madukani. Inaonesha
uhalisia wa dukani ikiwa ni pamoja na tiketi za ubashiri ambazo zinakupa
mchanganyiko wa ushindi.
Lucky
Betting Shop ni sloti bora kwa mashabiki wote wa michezo. Hii
haifanani na michezo ya sloti. Lakini, imeweka utaratibu wa kubashiri kwenye
mfumo wa sloti, mashine yake imetengenezwa kwa upekee.
Kujaza Tiketi za Ubashiri
Sloti
ya Lucky Betting Shop ina malipo 1024. Kiwango cha chini cha ubashiri ni
koini 25. Kila ushindi unazidishwa kwa koini ya ubashiri na unalipa kuanzia
kushoto kwenda kulia. Utofauti upo kwenye ushindi uliotawanywa ambao unalipwa
popote.
Alama
za Lucky
Betting Shop ni pamoja na vifaa vya ubashiri wa michezo. Kila
kitu kinafanyika kwenye Lucky Betting Shop ambapo unaweza kushinda kutoka
kwenye michezo mingi. Washirika wa kadi ni alama za chini na ushindi, wakati
watupaji na wafanyakazi wanalipa zaidi. Tiketi ya kubashiri ni ya mwitu,
ikibadilisha alama zote katika mchanganyiko wa kushinda isipokuwa kutawanyika.
Alama
zinamalipo mchanganyiko. Zinaweza kutokea katika ukubwa kamili au nusu.
Zinapotokea katika ukubwa nusu, zinalipa kutokana na jedwali la malipo.
Mwanamke nyuma ya kaunta analipa zaidi – mara 250 ya dau lako. Mtupaji yupo
chini zaidi kwenye orodha, analipa mara 100 ya mchanganyiko uleule.
Kwenye
mchezo wa mwanzo, machaguo yanaweza kuongezwa kwenye reels kati ya 50x na 250x
ya dau lako. Kuna nafasi moja tu ya kushinda kwenye reel iliyoongezwa. Sifa hii
hii inapatikana kwenye mizunguko ya bure ambapo utaweza kushinda kwa tabiri za
kushangaza.
Sifa ya Bonasi
Sloti
ya Lucky Betting Shop ina mizunguko ya bure ambayo inaweza kupatikana
sehemu yeyote ya reels. Utapata jumla ya mizunguko 15 ya bure ambayo
inawezakurudiwa. Mchezo unatumia reels maalumu kwenye mzunguko huu. Mizunguko
ya bure inachezwa muda wa kubashiri.
Kuna
sifa nyingine ambayo inawafurahisha zaidi wapenzi wa michezo ya kubashiri.
Inaitwa Tiketi ya Ubashiri na inaweza kupatikana kwa kubofya kwenye bet slip
chini kabisa kwenye pembe ya kushoto. Huu ni ubashiri wa ziada ambao unaweza
kufanyika mwanzoni mwa mchezo. Unaweza kuwa na tiketi 2 zinazoweza kutumika.
Ili kutumia sifa hii unatahitajika kwanza kuchagua alama moja kati ya tatu na
idadi ya mizunguko.
Kwamfano,
unaweza kuchagua mfanyakazi au mtupaji kutokea mara 21 au 25 kwenye mizunguko
12. Kisha unachagua ubashiri wako upande wa kulia na kuanza mchezo. Kama
utaweza kupata alama zako kama ulivyochagua kwenye mizunguko 12, utashinda
tiketi yako ikiwa imezidishwa.
Ni Burudani ya Kimichezo
Kama
ni mpenzi wa michezo ya kubashiri, utafurahia Lucky
Betting Shop. Jaribu bahati yako kwenye tiketi ya ubashiri na
unaweza kupata zawadi kibao. Ni mashine ya sloti inayofurahisha na ambayo
inawapa fursa wapenzi wa michezo, ijaribu kupitia Meridianbet na
ufurahie kubashiri.
Ahsante kwa ujumbe tumeuwelewa
ReplyDeleteUjumbe mzuri tumeelewa utulivu na busara inatakiwa
ReplyDeleteMchezo makini
ReplyDeleteMchezo wa kibabe
ReplyDeleteKasino bora kabisa mtandaoni kuwahi kuiona.
ReplyDelete