Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Bibi Rosemary Octovian Nyerere, alipofika Nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere Msasani Jijini Dar es salaam leo Januari 03,2021 kwa ajili ya kuhani msiba. Marehemu Bibi Rosemary Nyerere amefariki Dunia Januari 01,2021 Jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji Watoto na Wanafamilia ya Baba wa Taifa kufuatia kifo cha Bibi Rosemary Octovian Nyerere, alipofika Nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere Msasani Jijini Dar es salaam leo Januari 03,2021 kwa ajili ya kuhani msiba wa Marehemu Bibi Rosemary Nyerere aliyefariki Dunia Januari 01,2021 Jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...