MANISPAA ya Temeke chini ya uongozi wa Mkuu wa Wilaya hiyo Godwin Gondwe imekutana na wawekezaji, Taasisi za Serikali na mashirika ya Umma ya Manispaa hiyo na kusikiliza changamoto zao na kuboresha mahusiano yao. pamoja na kutengeneza mazingira wezeshi ya uwekezaji ili kukuza uchumi wa Manispaa hiyo.
Mkutano huo umewakutanisha na Taasisi za serikali, mashirika mbalimbali ya umma na uwekezaji yakiwemo DAWASA, Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA,) Shirika la viwango Tanzania ( TBS, ) ALAF na DTP. NEMC.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...