Mkuu
wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge akifurahia
jambo na Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa wanaojenga miundombinu ya
Skimu ya umwagiliaji ya Kikosi cha Chita JKT 837 uliopo Ifakara Mkoani
Morogoro. mradi huo unatekelezwa na JKT katika kikosi hicho.
Mkuu
wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge akiangalia
jinsi maji yanavyopita katika moja ya banio ambalo litatumika kugawa
Maji kwenda katika mashamba ya mpunga katika mradi wa umwagilkiaji
unaojengwa na JKkikosi cha 837 Chita JKT Ifakara,Mkoani Morogoro.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja General Charles Mbuge
akitembelea moja ya ghala embalo litatumika kuhifadhia mpunga
utakaovunwa katika mashamba hayo ya kimkakati wakati alipofanya ziara
kuangalia maendeleo ya mradi huo uliopo Ifakara Mkoani Morogoro.
:Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge akiangalia moja ya mfereji wa kupeleka maji unaojengwa katika skimu ya umwagiliaji ya JKT kikosi 837 Chita, unaopita chini ya reli unaopeleka maji katika mashamba ya mpunga wakati alipofanya ziara kuangalia maendeleo ya mradi huo Ifakara Mkoani Morogoro.Ujenzi wa miundombinu ya skimu hiyo umefikia asilimia 45 na unategemea kukamilika mwezi Mei 2021.
Mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Meja General Charles Mbuge
akiangalia sehemu ya ekari 2500 zilizopandwa mpunga na JKT kikosi cha 837
Chita wakati alipofanya ziara kuangalia maendeleo ya mradi huo uliopo Ifakara mkoani Morogoro.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge akiangalia moja ya mfereji wa kupeleka maji unaojengwa katika skimu ya umwagiliaji ya Chita JKT kikosi 837 Chita JKT, unaopita chini ya reli unaopeleka maji katika mashamba ya mpunga wakati alipofanya ziara kuangalia maendeleo ya mradi huo Ifakara Mkoani Morogoro.Ujenzi wa miundombinu ya skimu hiyo umefikia asilimia 45 na unategemea kukamilika mwezi Mei 2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...