Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa mkandarasi mara baada ya kukagua chumba maalumu chenye mifumo ya TEHAMA kitakacho iwezesha Wizara kufuatilia kwa karibu utendaji wa kila siku kwenye maeneo ya mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja na vivuko.

Mhandisi Kashinde Musa akifafanua jambo kwa baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) wakati menejimenti hiyo ilipotembelea chumba maalumu chenye mifumo ya TEHAMA kitakacho iwezesha Wizara kufuatilia kwa karibu utendaji wa mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja na vivuko.

Mhandisi Kashinde Musa akitoa maelezo kuhusu sehemu ya usimamizi wa mifumo ya TEHAMA itakayoiwezesha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kufuatilia kwa karibu utendaji wa kila siku kwenye maeneo ya mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja vivuko.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akifafanua jambo mara baada ya kukagua chumba maalumu chenye mifumo ya TEHAMA kitakacho iwezesha Wizara kufuatilia kwa karibu utendaji wa mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja na vivuko.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...